AINA MPYA YA MICHE YA MIGOMBA KUANZA KUTUMIKA ZANZIBAR

KILIMO

   Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekusudia kutumia aina mpya ya Miche ya Migomba aina Malindi iliyofanyiwa utafiti na Taasisi ya Mbogamboga na Matunda Taha Mkoani Arusha ili kuondoa tatizo la Uagizaji wa zao hilo kwa fedha nyingi.

    Hayo yamebainika Wakati wa Ziara ya Wajumbe wa Kamati ya Kilimo, Biashara na Utalii ya Baraza la Wawakishi Zanzibar katika Taasisi ya Mboga Mboga iliyopo Mkoani Arusha iliyolenga kujifunza mbinu bora za Kilimo.

    Akizungumza katika Ziara hiyo Waziri wa Kilimo Umwagiliji Mifungo na Maliasili. Zanzibar Shamata Shaame Khamis amesema hatua hiyo ni ufumbuzi wa kilio cha muda mrefu cha Wakazi wa Zanzibar

       Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kamati ya Kilimo Biashara na Utalii wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mtumwa Pea Yussuf alikuwa na haya ya kusema.

     Wajumbe hawa wapo Mkoani Arusha kwa Ziara ya Siku Tatu ambayo imeratibiwa na Taasisi ya Kilimo cha Mbogamboga na Matunda taha.

                                       

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.