Jumla ya Watoto 11 wamezaliwa katika Hospitali ya Rufaa Mnazi Mmoja ikiwemo Wanawake Watano na Wanaume 6 kuamkia Usiku wa Skukuu ya Iddilftri.
Akizungumza na ZBC Muuguzi wa Hospitali ya Rufaa Mnazi Mmoja Aziza Khatib Abdallah amesema Wazazi wote waliojifungua Watoto hao wanaendelea vizuri amewaomba viongozi kuwasaidia kuwatatulia matatizo yanayowakabili katika Hospitali hiyo ikiwemo kuwaongezea Vitanda kwa ajili ya Wazazi wanaofika hapo.
Wazazi waliojifungua katika Hospitali hiyo pamoja Nawanachi wamewachukuru Madaktari wa Hospitali hiyo kwa huduma wanazozitoa na kuwaomba Viongozi kuwatatulia matatizo yanayowakabili ikiwemo kuwaongezea Vitanda vya kulalia kwa Mama Wajawazito, kuwapitishia ,Ujji kwa wakati ili kuondokana na usumbufu.
stories
standard