Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzbar Mhe. Lela Mohamed Mussa amewasisitiza Wanfunzi kusoma Lugha za Kigeni ili kupata fursa mbalimbali zanazopatika kotokana na ujuzi wa lugha hizo
Amesema hayo wakati wa Ufunguzi wa Darasa la Kichina Chuo Kikuu Cha Zanzibar SUZA na kuwataka kuitumia fursa hiyo ambayo itawasaidia wao kupata fursa mbalimbali za kusoma Nje ya Nchi na Ajira kupitia kujifunza lugha hiyo
Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Zanzibar SUZA Mohamed Makame Haji na Mwaklishi wa Watu wa China Zanzibar Zhang Ming wamesema uwepo wa Darsa la Kichina Zanzibar itawapatia fursa kuutangaza Utamaduni Wakizanzibar pamoja na wao kujifunza utamaduni wa Kichina
Wanfunzi wanajifunza lugha yaKichina Chuoni hapo wameseama watendelea kujifunza kwa bidii ili kuona wanapata kujua mambo mbalmbali ili iwasaidie katika kuengeza marifa kwenye Masomo yao na fursa za kimasomo