English
Mkuu Wa Mkoa Wa Mjini Magharibi, Moh’d Abdalla Ali, Amesema Wafanyabiashara Wa Soko La Mombasa Wanatarajiwa Kuanza Kufanya Biashara Zao Ndani Ya Soko Hilo Katika Kipindi Cha Hivi Karibuni.
Akizungumza Na Waandishi Wa Habari, Mheshimiwa Mohd Abdalla Ali Amesema Tayari Wameshagawa Vizimba Kwa Wafanya Biashara Na Wanatarajia Kuanza Kulitumia Soko Kabla Ya Mwezi Wa Ramadhani
Akizungumzia Kuhusu Wafanyabiashara Wanaofanya Biashara Nje Ya Soko La Mwanakwerekwe Ametolea Ufafanuzi Kua Tayari Wamechukua Hatua Za Kuzungumza Na Uongozi Wa Soko Hilo Kwa Lengo Kuwaingiza Ndani Ya Soko Wafanyabiashara Hao Kwa Kuliwekea Mazingira Mazuri Soko Hilo Na Kutimiza Adhma Ya Mh Raisi Wa Zanzibar Ya Kuwawekea Mazingira Mazuri Wafanyabiashra Wadogo.
