Submitted by admin on Jun 24

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UTANGAZAJI
Utangulizi
Shirika La Utangazaji Zanzibar (ZBC) ni Shirika la Umma ambalo
limeanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 3 cha Sheria namba 4 ya
mwaka 2013, ZBC ina jukumu la kuhakikisha inawapatia habari,
matukio na makala mbali mbali jamii ya Taifa la Zanzibar na Tanzania
kwa ujumla, anuani yake ni S.L.P 314, Karume House - Zanzibar,


Kwa msingi huo, Shirika la Utangazaji (ZBC) linatangaza nafasi za kazi
za kada zifuatazo ili kuimarisha utendaji wa kazi zake. Hivyo wote wenye
sifa, umri usiozidi miaka 46 ya kuzaliwa ,uwezo na vigezo wanaalikwa
kutuma maombi yao ili kujaza nafasi za kazi

document
Nafasi za Kazi.pdf (1019.94 KB)
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.