Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Dk. Khalid Salum Mohamed ameeleza hayo wakati wa Ziara ya kukaguwa Barabara ya Fuoni Daraja la Shein hadi Barabara ya Tunguu yenye urefu wa Kilomita 5.8.
Dkt. amesema Barabara baadhi ya Wananchi wanajenga kwenye sehemu hizo jambo ambalo ni kinyume na sharia
Dkt.Khalid amewataka Wananchi kutoa mashirikiano ili kutunza Barabara na kuwasihi kuacha kuchukua hatua mikononi mwao wakati linapotokea tatizo.
stories
standard