DKT.KHALID AKAGAUA BARABARA YA FUONI TUNGUU

Dkt.Khalid akikagua barabara

    Wananchi wameshauriwa kuachana na utaratibu wa Kujenga katika Maeneo ya hakiba ya Barabara kwani kufanya hivyo ni  kinyume na sheria  na inaondoa haiba za Barabara na Mji.

     Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Dk. Khalid Salum Mohamed ameeleza hayo wakati wa  Ziara ya kukaguwa Barabara ya Fuoni Daraja la Shein hadi Barabara ya Tunguu yenye urefu wa Kilomita 5.8.

     Dkt. amesema  Barabara baadhi ya Wananchi wanajenga kwenye sehemu hizo jambo ambalo ni  kinyume na sharia 

Dkt.Khalid amewataka Wananchi kutoa mashirikiano  ili kutunza Barabara na kuwasihi kuacha kuchukua hatua mikononi mwao wakati linapotokea tatizo.

Tags
stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.