WANANCHI WANAONG’OA VIBANGO VYA UTAMBULISHO WA MAJINA YA MITAA NA NAMBA ZA NYUMBA KUWACHA TABIA HIYO.
Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makaazi ya Mwaka 2022 Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa ameyasema hayo katika Kikao cha kumi 10 cha Kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makaazi ya Mwaka 2022 Mhe Majaaliwa amesema Tamisemi kwa pande zote mbili zina wajibu wa kufuatilia na kuhakikisha Vibao vya Anuani za Majina ya Mitaa havibanduliwi na vinabaki katika uhalisia ili kumrahisishia Mwananchi kufika sehemu husika bila ya usumbufu wa aina yoyote.