KIKOSI CHA VALANTIA KIMETAKIWA KUZUNGUSHA UKUTA KATIKA ENEO LA KAMBI YA MWANYANYA, ILI KUIWEKA KATIKA MAZINGIRA SALAMA
Agizo Hilo Limetolewa Na Waziri Wa Fedha Na Mipango Dkt. Saada Mkuya, Wakati Akizindua Nyumba Tatu Za Kulala Askari Pamoja Na Ofisi Zoni Ya Mjini, Amesema Majengo Hayo Mapya Yanahitaji Kutunzwa Ili Kuimarisha Shughuli Za Kiutendaji Kwa Maafisa Na Askari Wa Kikosi Hicho.