WANANCHI WA SHUMBA MJINI WAMETAKIWA KUZUIA UNGIAJI WA HARAMU WA BINADAMU.
Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar,Hassan Ali Hassan amewataka Wananchi wa Shumba ya Mjini Kisiwani Pemba,kusimama imara katika kuhakikisha wanazuia ingiaji wa Wageni kinyume na Sheria .
Kamishamna ametoa kauli hiyo wakati akizumza na Wananchi wa Shumba ya Mjini katika ziara yake ya kuskiliaza Changamoto zinazojitokeza Wananchi hao hao.
Amesema katika bandari ya Shumba kumekuwepo na Ungiaji wa Wageni kinyume na Sheria ambao sio Waaminifu.