VIFO VYA WALIOKULA KASA WIZARA YA AFYA YATOA RIPOTI
Wizara ya Afya Zanzibar imetoa Ripoti ya Utafiti uliofanywa kufuatia Watoto Tisa 9 kufariki Dunia na wengine wakiendelea kupatiwa Matibabu baada ya kusadikiwa Kula Nyama ya Kasa ambayo imesababisha madhara makubwa
Akitoa Ufafanuzi wa Rripoti hio Naibu Waziri Wizara ya Afya Hassan Khamis Hafidh amesema Tukio hilo limeripotiwa Marchi 6 katika Kijiji cha Kisiwa Panza Mkoa wa Kusini Pemba na Watu wengine Takriban 160 wameathirika na Nyama hiyo na kupatiwa Matibabu,