TRA YAVUNJA REKODI, TRIL.2 ZAKUSANYWA KWA MWEZI JULY

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa takwimu ya  mwezi Julai 2024, Mwaka wa Fedha 2024/25 kuwa imefanikiwa kukusanya Tsh. trilioni 2.34, sawa na ufanisi wa 104.4% ikilinganishwa na lengo la kukusanya Tsh. trilioni 2.246

    Makusanyo haya ni sawa na ukuaji wa 20% ikilinganishwa na Tsh. trilioni 1.94 zilizokusanywa katika mwezi Julai kwa Mwaka wa Fedha 2023/24.

    Taarifa iliyotolewa na Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda, August 10, 2024 imesema

UTAPENDA JINSI WANAWAKE WA TRA ZANZIBAR WALIVYOADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

    Mhe.Wanu Hafidh Ameir amewahimiza Wanawake kuendelea kutoa malezi kwa Jamii ili kuwa na maadili mazuri.

     Mhe.Wanu amesema hayo katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kwa Wanawake wa TRA kukabidhi msaada kwa Kituo cha Assalam Orphans Center.

    Amesema kuwa kulea Yatima kunahitaji moyo na ni jambo kubwa kwa Mwenyezi Mungu. amesema kuwa Wanawake wa TRA wameweza kufanya jambo kubwa kwa kutoa na kuwatizama Watoto Yatima.

Subscribe to #tra
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.