POLISI NCHI 14 KUFANYA MAFUNZO KUKABILIANA NA UHALIFU
Jeshi la Polisi Nchini linatalajia kuwa, Mwenyeji wa Mafunzo ya utayari kwa vitendo Mwaka huu yatakayo jumuisha Nchi 14 Wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi ukanda wa Mashariki mwa Afrika Eeapcco April 13 Hadi 18.
Akitoa Tarifa Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna wa Polisi David Misime amesema Mafunzo hayo yanatarajiwa kufanyika katika Shule ya Polisi Tanzania Moshi ambapo Maafisa, Wakaguzi na Askari wa Vyeo mbalimbali Wapatao 670 wanatarajiwa kushiriki.