SMT NA SMZ ZIMEJIPANGA KUFANIKISHA MKUTANO WA WANACHAMA WA JUMUIA YA MADOLA

Wizara ya Katiba na Sheria ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zimejipanga vyema katika kufanikisha Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama wa Jumuia ya Madola.

Subscribe to BALOZI DKT PINDI HAZARA CHANA
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.