SEREKALI KUSIMAMIA UTOAJI ELIMU JUU YA UMILIKI HATI YA MATUMIZI YA ARDHI.

NAIBU WAZIRI WA ARDHI

Serekali imesema itahakikisha inasimamia suala la utoaji wa Elimu kwa Wananchi kutambua umuhimu wa kumiliki hati ya matumizi ya Ardhi.

Mh Salha Mohammed Mwinjua Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi ameyasema hayo katika hafla ya Uzinduzi wa ugawaji wa hati za haki ya matumizi ya Ardhi kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magaribii amesema umiliki wa hati ya Ardhii unasaidia kupunguza Migogoro ya Ardhi inayojitokeza kwa Wanachi ambao hawajafanya uhakiki katika  maeneo yao. 

Mussa Kombo Bakari Katibu Mtendaji Kamisheni ya Ardhi na Kaimu Mrajis wa Kamishen ya Ardhi Abubakar Saidi Bakarii wamesema Kamishen hiyo inatarajia kutoa hati za umiliki wa Ardhii zaidi ya Mia Nane na wamewataka Masheha kua Mabalozi Wazuri wakutoa Elimu kwa Wananchi 

Masheha waliohudhuria hafla hiyo wamsema jambo la uhalali wa umiliki wa Ardhi unawasidia kupunguza migogoro baina yao na Wananchi

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.