Washiriki wa Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa Dar Es Salaam (Sabasaba) wametakiwa kushirikia katika Siku maalum zizoandaliwa katika maonesho hayo ili Kuweza kujifunza fursa mbalimbali za uwekezaji kutoka Mataifa ya nje ya Nchi.
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) Bi Latifa Mohamed Khamis katika wa Siku maalum kwa ajili ya Taifa la Iran katika maonesho hayo.
Amesema wameandali Siku hiyo ili kuweza kuangalia fursa zilipo katika Mataifa mengine pamoja na kuzitangaza fursa za uwekezaji zilizopo Nchi.
Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania Oscar Kassanga
Amewataka Watanzania kuchangamkia fursa zinazotolea na Mataifa ya Kigeni katika maonesho hayo.