Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar,Hassan Ali Hassan amewataka Wananchi wa Shumba ya Mjini Kisiwani Pemba,kusimama imara katika kuhakikisha wanazuia ingiaji wa Wageni kinyume na Sheria .
Kamishamna ametoa kauli hiyo wakati akizumza na Wananchi wa Shumba ya Mjini katika ziara yake ya kuskiliaza Changamoto zinazojitokeza Wananchi hao hao.
Amesema katika bandari ya Shumba kumekuwepo na Ungiaji wa Wageni kinyume na Sheria ambao sio Waaminifu.
Afisa uraia wa Jeshi la Uhamiaji kutoka Ofisi Kuu Zanzibar,Chumu Kombo Amour amewaomba Wananchi hao kulipa umuhimu suala la ufuatiliaji wa Vyeti vya kuzaliwa .
Kwa upande wao Wananchi hao wameeleza matatizo Mbali mbali yakiwemo ikiwemo Muda Mrefu wa ubadilishaji wa Paspoti wakati zinapomaliza muda.
stories
standard