SEREKALI KUSHIRIKIANA NA MATAIFA MBALI MBALI ILI KUKUZA SEKTA YA UTALII.

MHE  MUDRIK RAMADHAN SORAGA

Serekali imesema itaendlea kushirikiana na Mataifa mbalimbli ili kuona Sekta ya Utalii inaleta tija kwa Maendeleo ya Wazanzibari .

Waziri wa Utalii na mambo ya kale Zanzibar Mh Mudrik Ramadhan Suraga akizungumza na Ugeni wa Balozi wa heshima kutoka Jamica amesema Sekta ya Utalii inaendlea kuimarisha Utalii ili kuona wanapata Washirika watakaoleta maendleo katika Sekta ya Utalii 

Balozi wa heshima wa Jamica Elisabeth Delfose amesmea wataimarisha Mahusiano ya Jamica na Zanzibar kwa lengo la kukuza Utalii wa Visiwa vilivyopo na kukuza Uchumi kwa kupata Wageni watakaotembelea Vivutio kwa Zanzibar na Jamica 

Mea wa Jiji la Zanzibar Mahmoud Mohammed Mussa amesema kwa upande wa Zanzibar wapo tayarii kupokea mabadiliko mabayo yataleta maendleo kwa upande wao na kuona Zanzibar inakua Kiutalii kwa kuungana na Matiafa ambayo yamekua Kiutalii.

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.