Wakizungumza katika Kikao cha Tathimini ya ubanguaji wa Korosho, baadhi ya Wadau kutoka katika Mikoa ya Lindi, Mtwara Ruvuma, Pwani na Tanga, wamesema Serikali inapaswa kutoa Elimu kwa Wakulima wa zao hilo, ili kuongeza uzalishaji pamoja kuunganisha vikundi vya wabanguaji wadogo wadogo.
Alfred ni Mkururgenzi Mkuu Bodi ya Korosho Tanzania, anakaelza mikakati waliyonayo ili kumhakikisha Mkulima wa Zzao hilo kuwa na soko la uhakika.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Bodi ya Korosho amesema hali ya ubanguaji imeongezeka kutoka Tani 2000 kwa 2021, na kufikia Tani Elfu 26,600, kwa Mwaka 2023/2024.
stories
standard