Waziri wa uchukuzi profesa Makame Mbarawa ameongoza Zoezi la Safari ya majaribio ya Meli ya Mv. Mwanza hapa kazi tu ambayo Ujenzi wake umefikia asilimia 96.
Meli hiyo imeng’oa Nanga majira ya Mchana katika Bandari ya Mwanza kusini chini ya Uongozi wa Nahodha Bembele Ng’wita
Waziri Profesa Mbarawa akizungumza baada ya kushuhudia jaribio la Meli hiyo amesema zoezi hilo limefanyika kwa ufanisi mkubwa.
Balozi wa Tanzania Nchini Uganda Meja Jenerali Paul Simuli ametoa Rai kwa Wafanyabiashara kuitumia Meli hiyo katika shughuli za Kibiashara.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya huduma za Meli MSCL Eric Hamissi amesema majaribio ya siku mbili yaliyoanza tarehe 25 hadi 26 Machi Mwaka huu yanadhihirisha kukamilika kwa ujenzi wa Meli
stories
standard