Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema haitomvumilia mtu yoyote anaeashiria kufanya vitendo vya uhalifu vitakavyoharibu Amani iliopo Zanzibar.
‘’ikumbukwe kuwa Mapema Tarehe 27 huko Darajani Mitandao mbalimbali ya Kijamii ilionyesha Mtu mmoja anaefahamika kwa Jina Yussuf Faki Seif ambae pia ni Mkuu wa Oparesheni Mji Mkongwe akishambuliwa na virungu na Jamii ya Watu waliovaa Nguo za Kimasai ‘’
stories
standard