Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi ameridhia ombi la kujiuzulu kwa Waziri wa Utalii na mambo ya kale Mhe Simai Mohammed Saidi kuanzia leo.
Akithibitisha kauli ya aliyekuwa Waziri wa utalii na mambo ya kale Msemaji wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Cherlse Hilari.
stories
standard