Akizungumza Baada Ya Kamati Hiyo Kutembelea Na Kukagua Ujenzi Wa Miundombinu Ikiwemo Nyumba Kwenye Kijiji Hicho Cha Msomera, Mwenyekiti Wa Kamati Hiyo Timotheo Mzava Amesema Ujenzi Umezingatia Viwango.
Kamanda Wa Oparesheni Ya Ujenzi Wa Nyumba Hizo Za Msomera Kanali Sadick Mihayo Amesema Watahakikisha Wanamaliza Ujenzi Huo Kwa Wakati,Ili Wageni Wanaoletwa Waweze Kupata Makazi Haraka.
Mkuu Wa Wilaya Ya Handeni Albert Msando Ameeleza Kuwa Licha Ya Ujenzi Wa Nyumba,Ipo Baadhi Ya Miundombinu Ya Huduma Za Kijamii Nayo Inatengenezwa Kama Anavyoeleza..
Mbunge Kutoka Baraza La Wawakilishi Zanzibar Seleman Harub Seleman Kwa Upande Wake Ameishauri Serikali,Kuhakikisha Jeshi La Wananchi Wanapatiwa Mahitaji Yote Ya Msingi,Ili Kukamilisha Mradi Kwa Wakati Uliokusudiwa.
Kamati Hiyo Licha Ya Kukagua Mradi Wa Nyumba Pia Imetembelea Mradi Wa Bwawa,Josho,Shule Na Miundombinu Mingine.