ULINZI UNAHITAJIKA KATIKA MIUNDOMBINU YA MAJI

Dkt Jakaya Mrisho Kikwete

Rais Mstahafu Wa Awamu Ya Nne Wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Amesema Serikali Inafanya Juhudi Kubwa Katika Kuleta Maendeleo Na  Kuhakikisha Kila Mwananchi Anapata Huduma Bora Na Salama

 

Ameyasema Hayo Katika Hafla Fupi Ya Ufunguzi Wa Mradi Wa Mji Safi Na Salama Skimu Ya Dole Amesema Mradi Huu Unaozinduliwa Ni Moja Ya Mafanikio Katika Uimarishaji Wa Maji Safi Na Salama.

Hivyo Ameitaka Mamlaka Ya Maji Zanzibar  Zawa Kuweka Ulinzi Unahitajika Katika Miundombinu Ya Maji Ili Isifanyiwe Hujma Na Kuweka Mpango Madhubuti       Katika Vyanzo Vya Maji

 

Mkurugenzi Mkuu Mamlaka Ya Maji Zanzibar Zawa, Injinia Dk Salha Muhamed Kassim Amesema Mradi Huo Wa Utekelezaji  Wa Maji Safi Na Slama  Umefanywa Kwa Mashirikiano Ya Pamoja Na  Shirika La Maendeleo La Serikali Ya India Ili Kuwaondolea Wananchi Wake Tatizo La Ukosefu Wa Maji Na  Kukuza  Uchumi Wa Maendeleo .

 

Waziri Wa Maji Nishati Na Madini Shaib Hassan Kaduara Amesema Juhudi Zinazochukuliwa Na Serikali Zote Mbili Ni Kwa Ajili Maendeleo Kwa Wakusogezea Huduma Za Kijamii   Wananchi Wake.

 

Akizungumza Kwa Niaba Ya Mkuu Wa Mkoa Mjini Magharibi , Mkuu Wa Wilaya Ya Magharibi A Suzan Peter Kunambi Amesema Mradi Huo Utawanufaisha Wakaazi Wa Dole Na Maeneo Jirani

 

 

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.