JUMLA YA WATU 15 WAMEOKOLEWA NA MMOJA KUJERUHIWA KUFUATIA KUANGUKA KWA JENGO LILILOKUWA LIKIFANYIWA MATENGENEZO KATIKA ENEO LA FORODHANI
Katika Ajali Hiyo Iliyotokea Majira Ya Mchana, Jengo Hilo Lililoporomoka Ambalo Lilikuwa Benki Ya PBZ, Lipo Katika Matengenezo Na Wakati Ajali Inatokea Watu 16 Walikuwemo Ndani Ya Nyumba Hiyo, Majeruhi Ambae Alifunikwa Akitambuliwa Kwa Jina La Mayani Mussa Bakari Anasadikiwa Kuwa Na Miaka 35 Aliokolewa Kwa Msaada Wa Kikosi Cha Zimamoto Na Uokozi.