ZAIDI YA WATU ELFU 19 WANATARAJIWA KUANDIKISHWA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KWA WILAYA YA MJINI.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jaji George Joseph amesema hayo katika siku ya kwanza ya uwandishaji wa Wapiga Kura wapya Wilaya ya Mjini
Amesema idadi hiyo itaongeza ya Wapiga kura kwa Mkoa Mkoa wa Mjini Magharibi.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC Mwanaisha Kwalikwa amesema maandalizi ya uwandikishaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura yanaenda vyema na kuwaomba Wananchi kujitokeza kujiandikisha ili kutimiza haki yao ya Democrasia