MKUU WA WILAYA YA KISHAPU JOSEPH MKUDE AMEFANYA MSAKO WA KUSHITUKIZA KATIKA MNADA WA MHUNZE NA KUKAMATA WANAFUNZI 45 AMBAO WALIKUWA WAKIZURURA NA KUAGIZA KUTAFUTWA WANAFUNZI AMBAO HAWAJARIPOTI SKULI ILI WAANZE MASOMO
Hatua Hiyo Ya Mkuu Wa Wilaya Imetokana Na Kufanya Ukaguzi Katika Skuli Ya Sekondari Isoso Hivi Karibuni Na Kukutana Na Wanafunzi Sita Ambao Wameripoti Kati Ya 138 Waliopangiwa Katika Skuli Hiyo.
Akitoa Taarifa Mkuu Wa Skuli Ya Sekondari Isoso Anusiata Audax Amesema Mwitikio Wa Wazazi Kupeleka Watoto Waliochaguliwa Kujiunga Kidato Cha Kwanza Ni Mdogo.