MFUKO WA MAAFA KUWEZESHWA ILI KUKABILIANA NA MAAFA YANAPOTOKEA.

Kamati ya kudumu ya kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi imeishauri ofisi za Makamu wa pili ya Rais kupitia Kamisheni ya kukabiliana na Maafa kuaandaa utaratibu wa kuupatia fedha Mfuko wa kukabiliana na Maafa ili yanapotokea maafa Serikali iwe na uwezo wa kuwasaidia Wananchi wake kupitia Mfuko huo.

Subscribe to NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMO WA PILI WA RAIS
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.