MAAFISA,WAKAGUZI NA ASKARI WATUNUKIWA NISHANI YA MUUNGANO

POLISI VYEO

    Zaidi ya Maafisa, Wakaguzi na Askari Mia Sita wa Vyeo mbalimbali wametunikiwa Nishani ya Muungano kwa kuthamini umuhimu wao katika kuendeleza Ujenzi wa Taifa 

    Akiwavisha Nishani hizo kwa Niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kamanda Mkuu wa Polisi Tanzania IGP Camillus Wambura amesema Nishani hiyo ni heshima kwao na wanapaswa kujituma zaidi katika kuimarisha Ulinzi na Usalama

    Mkuu wa Mkoa Mjini Magharib  Idrissa Kitwana Mustafa  amesema Serikali zitaendelea kushirikiana ili  kuhamasisha kufanya kazi kwa uwadilifu na kuweza kutokomeza vitendo vya uhalifu katika Jamii .

   Watendaji waliotunukiwa Nishani hiyo wamesema wataendelea kufanya kazi kwa pamoja hasa katika kutoa Elimu kwa Jamii juu ya kudhibiti uhalifu.

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.