SMZ NA SMT KUSHIRIKIANA KUENDESHA KIWANDA CHA KUCHAKATA MWANI

Wakulima wa mwani

   Katika Kipindi cha Miaka 60 ya Muungano, Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeendelea kushirikiana na Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi kuendesha Kiwanda cha Kuchakata Mwani kilichopo Zanzibar chenye uwezo wa Kuchakata Tani Elfu 30 kwa Mwaka kwa kuongeza upatikanaji wa malighafi ya Mwani kutoka Tanzania Bara.

    Hayo yamesemwa Jjijini Dodoma na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdallah Khamis Ulega wakati Akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mafanikio yaliyopatikana katika Kipindi cha Miaka 60 ya Muungano.

     Aidha amesema kuwa Serikali inaendelea kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibara katika kuwawezesha Vijana na Wanawake kupitia Programu ya Jenga Kesho iliyobora (bbt).

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.