Wafanyabiashara wanaosafirisha na kuingiza mizigo Zanzibar kutoka Nje ya Nchi wameshauriwa kufanya Biashara hiyo kwa kuzingatia sheria
Akikagua Wafanyabiashara wanauza Biashara zao kwa kuingiza kutoka Nje Kamishna Mkuu ZRA Ndg. Yussuf Juma Mwenda amesema kumekuwa na taratibu za sheria zinakiukwa na baadhi ya Wafanyabiashara kupata hasara kwa kukosa kutoa malalamiko yao wakati wa marejesho ZRA.
Ameagiza kufanywa uchunguzi ili kubaini njia sahihi ya kuhakikisha Biashara za kuingiza mizigo zinafanyika kwa njia ya sheria na taratibu ili Wafanyabiashara wote wanaoingiza na wanaoangiza waweze kuwa na haki ya kulipia kodi.
stories
standard