Mwakilishi wa jimbo la Kikwajuni Mhe. Nassor Salim Jazira alipongeza Shirka la Utangazaji Zanzibar ( ZBC) kwa kitendo chake cha kutangaza kutoa huduma ya Matangazo ya vifo bure bila ya gharama yeyote kwa kipindi chote cha mfungo wa mwezi mtuku wa Ramadhani.
Sifa hizo amezitoa leo katika ukumbi wa Baraza la wawakilishi huko Chukwani wakati wa kikao kikiendelea.
hot
standard