Wafanya Biashara wa Bidhaa za Vyakula wametakiwa kufata maelekezo ya Serikali katika kuendesha Biashara zao.
Akizungumza na Wafanya Biashara hao katika ukaguzi wa Bei za Vyakula Mkurugenzi wa kumlinda Mtumiaji na udhibiti wa Bidhaa Bandia kutoka tume ya ushindani halali wa biashara Eliar Emmanual Juma
Amesema kuna baadhi ya Wafanya Biashara wanakiuka maagizo ya Serikali kwa kupandisha Bei bidhaa zao kinyume na makubalianao ya Serikali hivyo kufuatia ukaguzi uliofanywa na Tume hiyo kunabaadhi ya Maduka yamefungiwa kwa kosa la kupandisha bei bidhaa ya Sukari na kutokuweka Vibango vya Bei katika Bidhaa husika ambapo kufanya hivyo ni kosa Kisheria.
stories
standard