WANAWAKE ZANZIBAR WATAKIWA KUTUMIA FURSA MBALI MBALI KUJIKWAMUA NA UMASIKINI

MH.RIZIKI PEMBE JUNA NA WANANCHI PEMBA

   Waziri wa Maendeleo ya Jamii ,Jinsia , Wazee na Watoto Mhe. Riziki Pembe Juma amewataka wanwake kuzitumia fursa mbali mbali zinazowafikia kujiinua kiuchumi na kuweza kujikomboa na umasikini . 

    Wito huo ameutoa katika uzinduzi wa mradi wa kuwawezesha wanawake kiuongozi katika mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika huko katika Shehia ya Kambini chokochwe Wilaya ya Wete Pemba na kuhudhuriwa na Balozi wa Canada nchini Tanzania Ndg. Kyle Nunas.

 Amesema wanawake ni chachu ya maendeleo katika jamii hivyo fursa zinazpotokea ziwaongezee weledi .

   Akizungumza katika uzinduzi wa mradi huo Balozi wa Canada Nchini Tanzania Ndg. Kyle Nunas , Amesema mradi huo ni juhudi nyengine ya kuimarisha ari ya pamoja ili kukuza ustahamilivu  wa tabia ncjhi na kuhakikisha kuwa wanawake wanachukua jukumu hili kama wasimamizi mazingira na wachangiaji kiuchumi .

   Akitoa salam za Mkoa ,Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Salama Mbarouk Khatib amewataka wananchi kuenedelea kulinda mazingira kwa kutokata  mti bila ya  kupanda mti.

   Wakiwasilisha hotuba ya Community forest Mkurugenzi wa  Taaasisi hiyo  Pemba  Ndg. Mbarouk Mussa na Mkurugenzi wa Community Foresty kimataifa Ndg.Daimen Hardii

 

 

 

 

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.