ZAIDI YA WATU ELFU 19 WANATARAJIWA KUANDIKISHWA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KWA WILAYA YA MJINI.

TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jaji George Joseph amesema hayo katika siku ya kwanza ya uwandishaji wa Wapiga Kura wapya  Wilaya ya Mjini 

Amesema idadi hiyo itaongeza ya Wapiga kura kwa Mkoa Mkoa wa Mjini Magharibi.   

Mjumbe wa Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC Mwanaisha Kwalikwa amesema maandalizi ya uwandikishaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura yanaenda vyema na kuwaomba Wananchi  kujitokeza   kujiandikisha  ili kutimiza haki yao ya Democrasia

Zaidi ya Vituo 50 vya Uandikishaji wa Wapiga Kura wapya   vimeandaliwa  kwa Wilaya ya Mjini na Tume ya uchaguzi Zanzibar. 

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.