RAIS SAMIA AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA NCHINI TANZANIA

Dkt.Samia

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Fatou Harerimana wakati Balozi Fatou alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Tanzania tarehe 23 Aprili, 2024

 

     Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Fatou Harerimana mara baada ya mazungumzo yao wakati Balozi Fatou alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Tanzania.

      Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Fatou Harerimana mara baada ya mazungumzo yao wakati Balozi Fatou alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Tanzania tarehe 23 Aprili, 2024.

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.