AMESEMA UKUSANYAJI WA MAPATO KISIWANI PEMBA UMEONGEZEKA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, amesema ukusanyaji wa mapato kisiwani pemba umeongezeka kutoka shilingi bilioni 17 nukta 01 kwa mwaka 2020-2021 na kufikia shilingi bilioni 30 nukta 37 sawa na asilimia 78.48 kwa mwaka 2022-2023.   

Ameyasema hayo katika maadhimisho ya sherehe za kuwashukuru na kuwapongeza walipakodi kisiwani Pemba yaliyofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Sunset Beach Misali Wilaya ya Chake Chake Pemba.

Subscribe to MAKAMU WA PILI MHE. HEMED
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.