ZURA YATOA TAARIFA YA KUPANDA KWA BEI YA PETROLI NA KUSHUKA KWA BEI YA DIZELI

Zura

    Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetoa taarifa ya Bei za mafuta kwa Mwezi Mei 2024 zitakazoanza kutumika Alhamisi 09/05/204.

     Hii ni kutokana na Wastani wa mwenendo wa mabadiliko ya Bei za mafuta duniani, pamoja na Kupanda au kushuka kwa thamani ya fedha za kigeni zinazotumika kununulia mafuta.

    Bei ya Mafuta ya Petroli imepanda kutoka 3,133 kwa Mwezi Aprili 2024 hadi kufikia 3,182 tofauti ya Sh.49, Bei ya Mafuta ya Dizeli imeshuka kutoka 3,165 kwa Mwezi Aprili mpaka 3,146 ambapo ni imeshuka kwa Sh.19.

 

Tags
stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.