Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa ametoa Wito huo katika Sherehe ya kuwaaga Wastaafu 50 wa Jeshi la Polisi waliokuwa wakifanya kazi katika Vituo mbali mbali vya Mkoa wake.
Amesema kustaafu ni moja ya taratibu za kiutumishi, hata hivyo Serikali itaendelea kuwatumia kila itakapohitajika kutokana na uzoefu waliyoupata katika kulitumikia Jeshi Taifa.
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi na Mkuu wa Operesheni Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Zanzibar Mathias Nyange
amewashukuru Wastaafu hao kwa kuweza kulitumikia Jeshi hilo kwa uadilifu hadi kustaafu Wastaafu hao wamesema wako tayari kutoa msaada watakapo hitajika.
stories
standard