Ameyasema Hayo Jaji Mkuu Wa Zanzibar Mh Khamis Ramadhan Abdalla Katika Hafla Ya Kuwaapisha Mwenyekiti Na Wajumbe Wapya Wa Tume Ya Utumishi Wa Mahkama Huko Tunguu Mkoa Wa Kusini Unguja.
Jaji Khamisi Ameihimiza Tume Hiyo Kusimami Upatikanaji Wa Maslahi Ya Wafanyakazi Na Ufanisi Na Utendaji.
Mwenyekiti Wa Tume Ya Utumishi Wa Mahkama Jaji Aziza Iddi Suwed Ameahidi Kutumia Maarifa Katika Kuimarisha Mahkama.
Hafla Hiyo Imehudhuriwa Na Jaji Kiongozi Wa Mahkama Ya Tanzania Na Viongozi Wengine.
stories
standard