Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amezipongeza Mamlaka za kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar na Tanzania ZAECA na TAKUKURU kwa kufanikiwa kuokoa Fedha nyingi na kusimamia Miradi mbali mbali ya maendeleo Nchini.