WASANIFU ,WAHANDISI NA WAKADIRIAJI MAJENGO WATAKIWA KUFUATA SHERIA NA KANUNI KUWEZA KUJISAJILI

Bodi ya usajili, Wasinifu, Wahandisi na Wakadiriaji majengo Zanzibar  imewataka Wataalamu kufuata sheria na kanuni zinazowaongoza ili kuweza kujisajili kwa Lengo la kufanyakazi zao kwa Ubunifu na ufanisi kwa mslahi ya Wananchi na Taifa.

Subscribe to MWENYEKITI WA BODI YA USAJILI WASANIFU.WAHANDISI NA WAKADIRIAJI MAJENGO.
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.