Jamii imetakiwa kuwa na utaratibu wa kuwapa chakula Watoto kulingana na umri wao ili kuwakinga na maradhi ya utapia mlo.