KIKOSI CHA VALANTIA KIMETAKIWA KUZUNGUSHA UKUTA KATIKA ENEO LA KAMBI YA MWANYANYA, ILI KUIWEKA KATIKA MAZINGIRA SALAMA

mhe saada

Agizo Hilo Limetolewa Na Waziri Wa Fedha Na Mipango Dkt.  Saada Mkuya, Wakati Akizindua Nyumba Tatu Za Kulala Askari Pamoja Na Ofisi Zoni Ya Mjini, Amesema Majengo Hayo Mapya Yanahitaji Kutunzwa Ili Kuimarisha Shughuli Za Kiutendaji Kwa Maafisa Na Askari Wa Kikosi Hicho.

Akitoa Taarifa Ya Kitaalamu Katibu Mkuu Ofisi Ya Rais Tawala Za Mikoa Serikali Za Mitaa Na Idara Maalum Za SMZ, Issa Mahfoudh Haji, Amesema Majengo Hayo  Ni Sehemu Ya Kuondosha Changamoto Ya Makaazi Kwa Wapiganaji Wa KVZ.

Nae Mkuu Wa Kikosi Cha Valantia Luteni Kanal Said Shamhuna, Amesema Wanakusudia Kuimarisha Huduma Za Afya, Upatikana Wa Maji Safi Na Kuimarisha Ulinzi Kwa Wakaazi Wa Maeneo Ya Karibu.

 

 

 

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.