Mwenyekiti wa Bodi ya Jumuiya ya Madereva Mkoa wa Kusini Pemba Mwalimu Ali Mohamed Shela, amewashauri Madereva wa Gari za Abiria Nchini kufuata sharia za usalama Barabarani na sio kuwaona Askari wakorofi wanaposimamia sharia hizo.
Ushauri huo ameutoa wakati akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa PESTA, huko katika Ukumbi wa Skuli ya Madungu Maandalizi Chake Chake.
Amesema zipo sharia mbali mbali iwapo zikifuatwa ipasavyo basi Madereva hawana cha kupeleka kwa Tajiri, kutokana na uzidishaji wa Abiria wanaoufanya.
Mapema Katibu wa PESTA Ndg.Hafidhi Mbarka Salim, amesema Jumuiya katika Mwaka 2023 imepata mafanikiwa mbali mbali ikiwemo kuongezeka kwa mapato na kuwepo kwa kumbukumbu sahihi, na kuzitaja baadhi ya changamoto ku.
stories
standard